UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM COMPUTING CENTRE

Excellence, Innovation and Technological Foresight
Blog Image

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kitengo cha Kompyuta cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UCC) anawatangazia waombaji wote waliofanya usaili wa awamu ya kwanza kwaajili ya kazi ya muda mfupi kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Nanenane 2023 kuwa usaili wa awamu ya pili umepangwa kufanyika siku ya Jumapili tarehe 30/07/2023 kuanzia saa 3:00 Asubuhi jijini Mbeya katika ofisi za UCC (Tawi la Mbeya) zilizopo uzunguni mtaa wa Kaunda (Karibu na benki ya NBC).

KWA ORODHA YA WANAOTAKIWA KUJA KWENYE USAILI WA AWAMU YA PILI BONYEZA HAPA