UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM COMPUTING CENTRE

Excellence, Innovation and Technological Foresight
Blog Image

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kitengo cha Kompyuta cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UCC) anapenda kuwataarifu wasailiwa walioainishwa katika Jedwali hapo chini wamechaguliwa kwa ajili ya kazi ya muda mfupi kwenye maonesho ya Nanenane 2023. Hivyo, wanatakiwa kufika kwenye viwanja vya John Mwakangale vya Nane Nane (Mbele ya geti kuu la kuingilia) siku ya Jumatatu ya Tarehe 31 Julai 2023, saa 4:00 Asubuhi kwa ajili ya kukamilisha taratibu za ajira.

Bonyeza hapa kwa ORODHA YA WALIOCHAGULIWA KWA AJILI YA AJIRA YA MUDA MFUPI KWENYE MAONESHO YA NANENANE 2023 JIJINI MBEYA