MKURUGENZI MTENDAJI WA UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM COMPUTING CENTRE (UCC) ANAWATANGAZIA WAOMBAJI WOTE WALIOFANYA USAILI WA AWAMU YA KWANZA KWA AJILI YA KAZI YA MUDA MFUPI KWENYE MAONESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA (45TH DITF) YA SABASABA YA MWAKA 2021 KUWA USAILI UNAENDELEA KAMA ULIVYOPANGWA NA HAKUNA MABADILIKO YOYOTE YA RATIBA ILIYOTOLEWA HAPO AWALI.
TAFADHALI ZINGATIA KUWA TAARIFA SAHIHI ZINAPATIKANA KWENYE TOVUTI HII YA UCC NA SI VINGINEVYO.