University of Dar es salaam Computing Centre

Excellence, Innovation and Technological Foresight

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA AWAMU YA PILI KWA AJILI YA KAZI YA MUDA MFUPI KWENYE MAONESHO YA 45 YA SABASABA 2021.

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa University of Dar es Salaam Computing Centre (UCC) anawatangazia waombaji wote waliofanya usaili wa awamu ya kwanza kwa ajili ya kazi ya muda mfupi kwenye maonesho ya Kimataifa ya Biashara (45th DITF) ya Sabasaba ya mwaka 2021 kuwa usaili wa awamu ya pili umepangwa kufanyika siku ya Jumamosi ya tarehe 19/06/2021 kuanzia Saa 4:00 Asubuhi makao makuu ya UCC yaliyopo Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam, Kampasi ya Mlimani mkabala na Benki ya NBC.

 

Soma Kiambatanisho hapa kwa maelezo zaidi na kuona majedwali.