University of Dar es salaam Computing Centre

Excellence, Innovation and Technological Foresight

TANGAZO LA KUITWA KWENYE KAZI YA MUDA MFUPI KWENYE MAONESHO YA 45 YA SABASABA 2021

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa University of Dar es Salaam Computing Centre (UCC) anapenda kuwataarifu wasailiwa walioainishwa katika Jedwali Na.1 wamechaguliwa kwa ajili ya kazi ya muda mfupi kwenye maonesho ya sabasaba 2021. Hivyo, wanatakiwa kufika makao makuu ya UCC tarehe 24 Juni 2021, saa 3:00 Asubuhi kwa ajili ya kukamilisha taratibu za ajira.

Aidha, kutokana na dharura zinazoweza kujitokeza, wasailiwa 21 wamewekwa katika orodha ya akiba kama inavyooneshwa katika Jedwali Na.2

 

Soma Kiambatanisho hapa kwa maelezo zaidi na kuona majedwali.