University of Dar es salaam Computing Centre

Excellence, Innovation and Technological Foresight

TANGAZO LA KUITWA KWENYE KAZI YA MUDA MFUPI KWENYE MAONESHO YA 45 YA SABASABA 2021

Mkurugenzi Mtendaji wa Kitengo cha Kompyuta cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UCC) anapenda kuchukua nafasi hii kuwaita wote waliofanya maombi ya kazi ya muda mfupi kwenye maonesho ya Sabasaba ya 45 ya 2021, kwenye usaili kama inavyonekana  kwenye majedwali  yaliyoambatanishwa hapa.

 

Soma Kiambatanisho hapa kwa maelezo zaidi na kuona majedwali.