University of Dar es salaam Computing Centre

Excellence, Innovation and Technological Foresight

TANGAZO LA KUITWA KWENYE KAZI YA MUDA MFUPI KWENYE MAONESHO YA 44 YA SABASABA 2020

Mkurugenzi Mtendaji wa Kitengo cha Kompyuta cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UCC) anapenda kuwataarifu wasailiwa walioainishwa katika Jedwali Na.1 kufika makao makuu ya UCC tarehe 29 Juni 2020, saa 3:00 Asubuhi kwa ajili ya kukamilisha taratibu za ajira.

Soma Kiambatanisho hapa kwa maelezo kamili