University of Dar es salaam Computing Centre

Excellence, Innovation and Technological Foresight

TANGAZO LA KAZI YA MUDA MFUPI

University of Dar Es Salaam Computing Centre (UCC) ilishinda zabuni ya kujenga mfumo, kusambaza vifaa na kutoa huduma ya Uendeshaji wa Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es salaam (DITF), maarufu kama Maonesho ya Sabasaba yatakayoanza Juni 28 hadi Julai 13, 2021 kwenye viwanja vya Maonesho ya Sabasaba vilivyovyopo barabara ya Kilwa, Temeke - Dar es Salaam.

Hivyo, UCC inapenda kutangaza nafasi za kazi za muda mfupi kwa ajili ya kushughulikia huduma za uendeshaji wa maonesho na kuuza Tiketi za kuingia uwanjani (watu na magari).

Fungua kiambatanisho kwa maelezo zaidi na namna ya kuomba.