Kitengo cha Komputa cha Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UCC) kinatangaza nafasi za kazi za muda mfupi kwa ajili ya

kuuza tickets za watu na magari kuingia uwanjani na huduma nyingine.

 

Kwa maelezo zaidi angalia kiambatisho.